Majaliwa Akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Maji, Aweka Jiwe la Msingi Darakuta-Magugu-Mwada
Jan 25, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kubebe ndoo ya maji, Mwnaharusi Swaleh wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maji wa Darakuta – Magugu – Mwada uliopo Babati Vijijini mkoani Manyara, Januari 25, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua chujio la maji katika chanzo cha maji cha mradi wa maji Darakuta – Magugu – Mwada uliopo Babati Vijijini mkoani Manyara kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi huo, Januari 25, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji Darakuta – Magugu – Mwada uliopo Babati Vijijini mkoani Manyara, Januari 25, 2022. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Siro, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimbi na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Manyara, Simon Lulu