Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Akabidhi Magari 50 ya Kubebea Wagonjwa kwa Wabunge
Apr 29, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_52350" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa na baadhi ya wabunge waliokabidhiwa funguo za magari ya kubebea wagonjwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 29, 2020. Magari 50 ya kubebea wagonjwa yenye thamani ya shilingi bilioni 6 yalikabidhiwa kwa wabunge.[/caption] [caption id="attachment_52351" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Nyasa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellla Manyanya akilala chini (kugalauka) ikiwa ni ishara ya shukurani na furaha iliyokithiri kwa mujibu wa mila za wangoni na wamatengo, wakati alipokabidhiwa ufunguo wa gari la kubebea wagonjwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mbamba Bay. Mheshimiwa Majaliwa alikabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_52352" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea shukurani kutoka kwa Mbunge wa Mbulu Vijijini Fratei Massay wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_52353" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto (kulia) wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.[/caption] [caption id="attachment_52354" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.[/caption] [caption id="attachment_52355" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa pili kushoto) wakifurahia wakati Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta (kulia) alikionyesha ufunguo wa gari la kubebea wagonjwa baada ya kukabidhiwa wakati Waziri Mkuu alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_52356" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Amina Makilagi wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_52357" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Mbunge wa Nyasa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandishi, Stella Manyanya[/caption] [caption id="attachment_52358" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na wa tatu kulia ni Mbunge wa Nyasa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi, Stella Manyanya.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi