Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Ahudhuria Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania - Mjini
Dec 12, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24705" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Phillip Mangula wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_24706" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_24707" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma Desemba leo. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi