Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Afuturisha Kwenye Viwanja vya Bunge.
Jun 09, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_3067" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Balozi wa Morocco nchini, Mheshimiwa Abdelilah Benrwayane katika futari aliyoiandaa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Juni 8, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3068" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge, Azan Mussa Zungu (kulia kwake), Mbunge wa Mbarali, Haroon Mulla Pirmohamed (wapili kushoto) na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa, Valentino Mlowola katika futari iliyoandaliwa wa Waziri Mkuul Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3069" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mbunge wa Nsimbo, Mhandisi Richard Mbogo baada kufuturisha kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi