Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Afungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Nchi za Bonde la Mto Nile
Nov 23, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38694" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa wakati alipowasili kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Nchi za Bonde la Mto Nile za Ukanda wa Maziwa Makuu kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Novemba 22, 2018.[/caption] [caption id="attachment_38695" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Bw. George Lugomela (kulia) kuhusu mashine ya kutambua uwepo wa maji ardhini kabla ya kufungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Nchi za Bonde la Mto Nile za Ukanda wa Maziwa Makuu kwenye hoteli ya Serena, Novemba 22, 2018.[/caption] [caption id="attachment_38696" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama burudani ya ngoma wakati alipowasili kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Nchi za Bonde la Mto Nile za Ukanda wa Maziwa Makuu, Novemba 22, 2018. Wapili kulia ni Waziri wa Maji, Profesa Mbarawa Makame na watatu kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga.[/caption] [caption id="attachment_38697" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Nchi za Bonde la Mto Nile za Ukanda wa Maziwa Makuu kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salam, Novemba 22, 2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi