Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Afungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa
Jun 03, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43874" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la Wilaya ya Ruangwa kufungua Gereza hilo, Juni 3, 2019.[/caption]   [caption id="attachment_43875" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la Wilaya ya Ruangwa kuzindua Gereza hilo, Juni 3, 2019. Kulia ni Mkewe Mary.[/caption] [caption id="attachment_43876" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamishina Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la wilaya ya Ruangwa kufungua Gereza hilo, Juni 3, 2019.[/caption] [caption id="attachment_43877" align="aligncenter" width="750"] Askari Magereza wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya kufungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa, June 3, 2019.[/caption] [caption id="attachment_43878" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wa tatu kulia) wakifungua Gereza la wilaya ya Ruangwa Juni 3, 20, 19. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa , wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Kamishina Jenerali wa Magereza, Phaustine Kisike.[/caption] [caption id="attachment_43880" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa Juni 3, 2019. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola.[/caption] [caption id="attachment_43879" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary ((wa pili kulia) wakitazama gari alilolitoa Waziri Mkuu kwa Gereza la Wilaya ya Ruangwa wakati alipofungua Gereza hilo, Juni 3, 2019.[/caption] [caption id="attachment_43881" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Maofisa wa Jeshi la Magereza baada ya kufungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa, Juni 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi