Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo, Disemba 12, 2022. Katikati ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Mpuya Buswelu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya Wabende iliyokuwa ikichezwa na kikundi cha Tibo wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Katavi Disemba 12, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi na wabunge wa Mkoa wa Katavi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo, Disemba 12, 2022.