Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mafunzo ya PlanRep yaendelea Mjini Dodoma
Aug 31, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_11146" align="aligncenter" width="722"] Meneja wa Mradi wa PS3 Mkoa wa Dodoma Bw. Gideon Muganda akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo watumiaji wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuandaa Bajeti, Mipango na Kutoa Ripoti (PlanRep) yanayoendelea mjini Dodoma kwa siku nane.[/caption] [caption id="attachment_11147" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa Wawezeshaji wa Mafunzo kwa watumiaji wa mfumo wa kuandaa Bajeti, Mipango na Kutoa Ripoti (PlanRep) Bw. Ismail Juma akiwasilisha mada kwa washiriki (hawapo pichani) wakati wa mafunzo hayo yanayoendelea mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_11149" align="aligncenter" width="900"] Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada wakati wa mafunzo hayo[/caption] [caption id="attachment_11152" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa Washiriki wa mafunzo hayo akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo. (Picha zote na Frank Mvungi-Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi