Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mafunzo Mkurabita Yaibua Kampuni Sita Mkoani Simiyu
Jul 26, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33864" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay alipomtembelea Ofisini kwake leo Mkoani Simiyu. Mwenyekiti huyo pamoja na wajumbe wake wapo ziarani mkoani humo kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa shughuli za urasimishaji na uzinduzi wa Kituo cha pamoja cha urasimishaji Kanda ya Ziwa Mashariki.[/caption] [caption id="attachment_33865" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake leo Mkoani Simiyu. Mwenyekiti huyo pamoja na wajumbe wake wapo ziarani mkoani humo kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa shughuli za urasimishaji na uzinduzi wa Kituo cha pamoja cha urasimishaji Kanda ya Ziwa Mashariki.Kushoto ni Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe.[/caption] [caption id="attachment_33866" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka (katikati) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay alipomtembelea Ofisini kwake leo Mkoani Simiyu. Mwenyekiti huyo pamoja na wajumbe wake wapo ziarani mkoani humo kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa shughuli za urasimishaji na uzinduzi wa Kituo cha pamoja cha urasimishaji Kanda ya Ziwa Mashariki.Kushoto ni Mjumbe wa Kamati hiyo Bibi. Anna Mwasha.[/caption] [caption id="attachment_33867" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Merkizedeck Humbe akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) walipomtembelea ofisiniu kwake jana, wajumbe hao wapo ziarani Mkoani Simiyu kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa shughuli za urasimishaji na Uzinduzi wa Kituo cha Pamoja cha Urasimishaji Kanda ya Ziwa Mashariki. Kutoka kushoto ni mjumbe wa Kamati hiyo kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Emmanuel Mayeji, Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe na Mwenyekiti Mstaafu wa Kamati hiyo Kapteni Msaafu John Chiligati.[/caption] [caption id="attachment_33868" align="aligncenter" width="1000"] Afisa Ugavi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Bi. Herrieth Chrisant akipokea msaada wa vifaa kwa ajili ya Kituo cha pamoja cha Urasimishaji Biashara kutok kwa mwakilishi wa Ofisi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) jana Wilayani Bariadi mkoani Simiyu[/caption] [caption id="attachment_33869" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay akizungumza na Maafisa Biashara kutoka Halmashauri 20 za Kanda ya Ziwa Mashariki na vijana waliokuwa wakijengewa uwezo kuhusu urasimishaji jana mjini Bariadi. Zaidi ya Vijana 230 na Maafisa Biashara 25 kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki (Simiyu, Shinyanga na Mara) pamoja na maafisa Biashara waalikwa kutoka Mikoa ya Mtwara, Tanga, Morogoro, Mbeya na Tabora wamepatiwa mafunzo hayo kutoka MKURABITA kwa kushirikiana na Kampuni ya Kukuza Biashara ya GODTEC. Kushoto ni Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Kapteni mstaafu John Chiligati, wapili kulia ni Mjumbe wa Kamati hiyo Bibi. Ritha Mgere na Mratibu wa MKURABITA Bibi. Seraphia Mgembe.[/caption] [caption id="attachment_33870" align="aligncenter" width="1000"] Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA),Bibi. Seraphia Mgembe akizungumza na Maafisa Biashara kutoka Halmashauri 20 za Kanda ya Ziwa Mashariki na vijana waliokuwa wakijengewa uwezo kuhusu urasimishaji jana mjini Bariadi. Zaidi ya Vijana 230 na Maafisa Biashara 25 kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki (Simiyu, Shinyanga na Mara) pamoja na maafisa Biashara waalikwa kutoka Mikoa ya Mtwara, Tanga, Morogoro, Mbeya na Tabora wamepatiwa mafunzo ya siku tatu kutoka MKURABITA kwa kushirikiana na Kampuni ya Kukuza Biashara ya GODTEC. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay.[/caption] [caption id="attachment_33871" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Ubunifu kutoka Kampuni ya Kukuza Biashara ya GODTEC, Aloyce Midello akielezea jambo mbele ya wajumbe wa Kamti ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) walipotembelea katika darasa la mafunzo kuhusu urasimishaji kwa Maafisa Biashara kutoka Halmashauri 20 za Kanda ya Ziwa Mashariki na vijana waliokuwa wakijengewa uwezo kuhusu urasimishaji jana mjini Bariadi. Zaidi ya Vijana 230 na Maafisa Biashara 25 kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki (Simiyu, Shinyanga na Mara) pamoja na maafisa Biashara waalikwa kutoka Mikoa ya Mtwara, Tanga, Morogoro, Mbeya na Tabora jana wilayani Bariadi. Mafunzo hayo ya siku tatu yametolewa na MKURABITA kwa kushirikiana na Kampuni ya Kukuza Biashara ya GODTEC.[/caption] [caption id="attachment_33873" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya washiriki wa mafunzo kuhusu urasimishaji wakifuatilia hotuba za viongozi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (hayupo pichani) alipowatembelea katika mafunzo yao jana mjini Bariadi. Zaidi ya Vijana 230 na Maafisa Biashara 25 kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki (Simiyu, Shinyanga na Mara) pamoja na maafisa Biashara waalikwa kutoka Mikoa ya Mtwara, Tanga, Morogoro, Mbeya na Tabora jana wilayani Bariadi. Mafunzo hayo ya siku tatu yametolewa na MKURABITA kwa kushirikiana na Kampuni ya Kukuza Biashara ya GODTEC.[/caption] [caption id="attachment_33875" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya washiriki wa mafunzo kuhusu urasimishaji wakichangia mada baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (hayupo pichani) kuzungumza nao alipowatembelea katika mafunzo yao jana mjini Bariadi. Zaidi ya Vijana 230 na Maafisa Biashara 25 kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki (Simiyu, Shinyanga na Mara) pamoja na maafisa Biashara waalikwa kutoka Mikoa ya Mtwara, Tanga, Morogoro, Mbeya na Tabora jana wilayani Bariadi. Mafunzo hayo ya siku tatu yametolewa na MKURABITA kwa kushirikiana na Kampuni ya Kukuza Biashara ya GODTEC.[/caption] [caption id="attachment_33876" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji Profesa Zacharia Mganilwa (kushoto akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Bibi. Anna Mwasha (kulia) na Mtaalam wa Mawasiliano wa MKURABITA, Bi. Glory Mbilimonywa mara baada ya kumaliza maungumzo na washiriki wa mafunzo kuhusu urasimishaji rasilimali na biashara jana wilayani Bariadi mkoani Simiyu.[/caption] [caption id="attachment_33879" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay na wajumbe wa kamati hiyo wakitembelea kwenye Ofisi za Makampuni ya wawekezaji wazalendo wa Mkoa wa Simiyu yaliyoanzishwa na kusajiliwa kutokana na mafunzo ya miezi mitatu yaliyotolewa na MKURABITA kupitia Kampuni ya Kukuza Biashara ya GODTEC. Makampuni hayo ni SIMIZET investments, Kilimo investments, Siba Industries Co.Ltd,Ntuzu Industries Co. Ltd, Duma Industries Co. Ltd na Bariadi Leather Material Co. Ltd (BALEMACO LTD).[/caption] [caption id="attachment_33877" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay na wajumbe wa kamati hiyo wakitembelea kwenye Ofisi za Makampuni ya wawekezaji wazalendo wa Mkoa wa Simiyu yaliyoanzishwa na kusajiliwa kutokana na mafunzo ya miezi mitatu yaliyotolewa na MKURABITA kupitia Kampuni ya Kukuza Biashara ya GODTEC. Makampuni hayo ni SIMIZET investments, Kilimo investments, Siba Industries Co.Ltd,Ntuzu Industries Co. Ltd, Duma Industries Co. Ltd na Bariadi Leather Material Co. Ltd (BALEMACO LTD).[/caption] [caption id="attachment_33878" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay na wajumbe wa kamati hiyo wakitembelea kwenye Ofisi za Makampuni ya wawekezaji wazalendo wa Mkoa wa Simiyu yaliyoanzishwa na kusajiliwa kutokana na mafunzo ya miezi mitatu yaliyotolewa na MKURABITA kupitia Kampuni ya Kukuza Biashara ya GODTEC. Makampuni hayo ni SIMIZET investments, Kilimo investments, Siba Industries Co.Ltd,Ntuzu Industries Co. Ltd, Duma Industries Co. Ltd na Bariadi Leather Material Co. Ltd (BALEMACO LTD).[/caption] [caption id="attachment_33880" align="aligncenter" width="1000"] Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA),Bi. Seraphia Mgembe akisisitiza zungumza jambo na baadhi ya wanahisa wa Kampuni ya Kilimo Investments ya wilayani Bariadi wakati wa ziara ya kutembelea ofisi za Makampuni sita yaliyoanzishwa na wananchi ikiwa ni matokeo ya mafunzo maalum yaliyotolewa na MKURABITA kwa kushirikiana na GODTEC hivi karibuni. Makampuni mengine ni SIMIZET investments, Siba Industries Co.Ltd,Ntuzu Industries Co. Ltd, Duma Industries Co. Ltd na Bariadi Leather Material Co. Ltd (BALEMACO LTD).(Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi