Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Madaktari na Wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Wajifunza Jinsi ya Kuokoa Maisha ya Mtu Aliyepata Tatizo la Dharula la Kiafya
Nov 29, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_49509" align="aligncenter" width="750"] Madaktari na wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijifunza jinsi ya kuokoa maisha ya mtoto aliyepata tatizo la dharula la kiafya wakati wa mafunzo ya siku tatu yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano Taasisi hiyo jijii Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanatolewa na wataalamu kutoka kituo cha Emergency Medical Services Academy kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49511" align="aligncenter" width="750"] Sylivester Fanya kutoka kituo cha Emergency Medical Services Academy kilichopo Mkocheni jijini Dar es Salaam akiwafundisha madaktari na wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kuokoa maisha ya mtu aliyepata tatizo la dharula la kiafya wakati wa mafunzo ya siku tatu yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49512" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akielezea umuhimu wa mafunzo ya jinsi ya kuokoa maisha ya mtu aliyepata tatizo la dharula la kiafya kwa washiriki wa mafunzo hayo ya siku tatu yaliyoandaliwa na kituo cha Emergency Medical Services Academy kilichopo mikocheni jijini Dar es Salaam.
Picha na JKCI[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi