Mabregedia Jenerali wa JWTZ wakibeba Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa kabla ya kushushwa kaburini Lupaso Masasi mkoani Mtwara tarehe 29 Julai, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa Lupaso Masasi mkoani Mtwara wakati wa mazishi yake.