Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maboresho Miundombinu Mawasiliano ya Simu Mji wa Serikali Yaanza
Apr 29, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42587" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali, Bw. Meshach Bandawe akielezea jambo kwa wawakilishi wa Kampuni za Simu za TTCL, Airtel, Tigo na Vodacom wakati wa ziara ya kukagua maeneo yatajayojengwa Minara ya Mawasiliano ya Simu katika Mji wa Serikali ikiwa ni mkakati wa kuboresha miundombinu ya Mawasiliano ya Simu katika mji huo na maeneo jirani.[/caption] [caption id="attachment_42588" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali, Bw. Meshach Bandawe akielezea jambo kwa wawakilishi wa Kampuni za Simu za TTCL, Airtel, Tigo na Vodacom wakati wa ziara ya kukagua maeneo yatajayojengwa Minara ya Mawasiliano ya Simu katika Mji wa Serikali ikiwa ni mkakati wa kuboresha miundombinu ya Mawasiliano ya Simu katika mji huo na maeneo jirani.[/caption] [caption id="attachment_42589" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali,, Bw. Meshach Bandawe akiteta jambo na Mkuu wa Uendeshaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi. Albert Richard wakati wa ziara ya kukagua maeneo yatajayojengwa Minara ya Mawasiliano ya Simu katika Mji wa Serikali ikiwa ni mkakati wa kuboresha miundombinu ya Mawasiliano ya Simu katika mji huo na maeneo jirani. Ziara hiyo imehusisha wawakilishi kutoka Kampuni za Simu za TTCL, Airtel, Tigo na Vodacom ambapo Kampuni zote zitakuwa zinatumia mnara moja. Katikati ni Fundi Sanifu wa Kampuni Ujenzi ya Gopa iliyopewa Kandarasi ya ujenzi wa Mnara wa Awali unaojengwa katika eneo hilo, Bw. Charles Mndilila.[/caption] [caption id="attachment_42590" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali, Bw. Meshach Bandawe akielekeza jambo kwa wawakilishi wa Kampuni za Simu za TTCL, Airtel, Tigo na Vodacom wakati wa ziara ya kukagua maeneo yatajayojengwa Minara ya Mawasiliano ya Simu katika Mji wa Serikali ikiwa ni mkakati wa kuboresha miundombinu ya Mawasiliano ya Simu katika mji huo na maeneo jirani.[/caption] [caption id="attachment_42591" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali, Bw. Meshach Bandawe akisisitiza jambo kwa wawakilishi wa Kampuni za Simu za TTCL, Airtel, Tigo na Vodacom wakati wa ziara ya kukagua maeneo yatajayojengwa Minara ya Mawasiliano ya Simu katika Mji wa Serikali ikiwa ni mkakati wa kuboresha miundombinu ya Mawasiliano ya Simu katika mji huo na maeneo jirani.[/caption] [caption id="attachment_42592" align="aligncenter" width="908"] Mwakilishi wa Kampuni ya Simu ya Airtel, Mhandisi. Swaleh Bajber akifafanua jambo wakati wa ziara ya kukagua maeneo yatajayojengwa Minara ya Mawasiliano ya Simu katika Mji wa Serikali ikiwa ni mkakati wa kuboresha miundombinu ya Mawasiliano ya Simu katika mji huo na maeneo jirani. Kutoka kulia ni : Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali, Bw. Meshach Bandawe, Meneja Msaidizi wa Mtandao wa TTCL Mkoa wa Dodoma, Abbas Buge, Mwakilishi wa Vodacom Tanzania, Mhandisi, David Mbogela na Mwakilishi wa Tigo, Mhandisi. Simpilicius Komba. (Picha zote na: Idara ya Habari –MAELEZO).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi