[caption id="attachment_4396" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya mabanda yakiwa tayari kwa ajili ya maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba) yanayotarajiwa kuanza Juni 28 hadi Julai 8 katika Uwanja wa maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere uliopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.[/caption]