Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kituo cha Kisasa cha Mabasi Chafunguliwa Singida
Jul 02, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5042" align="aligncenter" width="750"] Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akifungua rasmi kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.[/caption] [caption id="attachment_5044" align="aligncenter" width="750"] Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na Mkimbiza Mwenge kitaifa Fredrick Ndahani wakiwa ndani ya basi lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.[/caption] [caption id="attachment_5045" align="aligncenter" width="750"] Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akishuka kutoka ndani ya basi lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.[/caption] [caption id="attachment_5046" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa Moja ya Sehemu ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kilichozinduliwa na mwenge wa uhuru 2017. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.[/caption] [caption id="attachment_5047" align="aligncenter" width="750"] Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akikabidhi mizinga mitano ikiwa ni sehemu ya mizinga 40 kwa timu ya Mpira wa Miguu ya Stendi Misuna mara baada ya kuzindua kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Timu hiyo inayoundwa na wakata tiketi imekuwa ni chachu ya kuhakikisha kituo hicho kinakua na ulinzi na usalama wa hali wa juu pamoja na kupinga vitendo vya kuvunja sheria kama utumiaji wa madawa ya kulevya.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi