Kikao Kutekeleza Agizo la Rais la Kutafuta Eneo Utakapojengwa Mnara wa Mashujaa
Jul 25, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mhe. Samia Suluhu Hassan la kutafuta eneo utakapojengwa Mnara wa Mashujaa kilichofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka.