Kikao Kazi cha Timu ya Wataalam wa Hifadhi ya Jamii Kupitia na Kuboresha Rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii
Mar 31, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wataalamu elekezi wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha wataalam kutoka katika Wizara na Taasisi kwa lengo la kupitia na kuboresha rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii, Machi 30, 2022 Jijini Dodoma.