Kikao cha Nne Kujadili Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Wizara Awamu ya Pili Chafanyika, Dodoma
Jan 12, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Katibu wa kuhamishia shughuli za Serikali Dodoma na Mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma Bw Meshach Bandawe akiongoza kikao cha Nne cha Wakurugenzi wa Utawala wa Wizara zote, wakandarasi na Washauri Elekezi cha kujadili maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara awamu ya pili zinazojengwa katika Mji wa Serikali DodomaKatibu wa kuhamishia shughuli za Serikali Dodoma na Mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma Bw Meshach Bandawe akiongoza kikao cha Nne cha Wakurugenzi wa Utawala wa Wizara zote, wakandarasi na Washauri Elekezi cha kujadili maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara awamu ya pili zinazojengwa katika Mji wa Serikali Dodoma Wajumbe wa kikao hicho wakifuatilia maelekezo mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa na Katibu wa kuhamishia shughuli za Serikali Dodoma na Mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma Bw Meshach Bandawe (hayupo pichani) juu ya maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara awamu ya pili zinazojengwa katika Mji wa Serikali Dodoma