[caption id="attachment_52009" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi ufunguo wa gari Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Rodney Thadeus wakati wa makabidhiano ya gari hilo jijini Dodoma. Idara ya Habari –MAELEZO imekabidhiwa gari hilo aina ya Noah ili kuongeza ufanisi wa shughuli za idara hiyo.[/caption]
[caption id="attachment_52010" align="aligncenter" width="750"]
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akikagua gari wakati wa kukabidhi gari hilo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Rodney Thadeus jijini Dodoma. Gari hilo aina ya Noah limekabidhi kwa Idara ya Habari - MAELEZO ili kuongeza ufanisi wa Idara hiyo.[/caption]
[caption id="attachment_52011" align="aligncenter" width="750"]
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Rodney Thadeus (kulia) na Afisa Tawala wa Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Mussa Varisanga wakiangalia namna Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akiendesha gari wakati wa kukabidhi gari hilo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Rodney Thadeus jijini Dodoma. Idara ya Habari –MAELEZO imekabidhiwa gari hilo aina ya Noah ili kuongeza ufanisi wa shughuli za idara hiyo.
[/caption]
[caption id="attachment_52012" align="aligncenter" width="750"] Afisa Tawala wa Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Mussa Varisanga (katikati) akielezea jambo wakati wa makabidhiano ya gari baina ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi(kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Rodney Thadeus (kulia) leo jijini Dodoma. Idara ya Habari –MAELEZO imekabidhiwa gari hilo aina ya Noah ili kuongeza ufani wa shughuli za idara hiyo.[/caption]