Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii Afanya Ziara Wilayani Misungwi
Jun 04, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_2622" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe. Juma Samwel Sweda (wa pili kulia) wakati alipomtembelea Ofisini kwake hivi karibuni.[/caption] [caption id="attachment_2626" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Makazi ya kulea wazee ya Bukumbi alipotembelea kituoni hapo hivi karibuni.[/caption] [caption id="attachment_2629" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga( wa pili kulia) akiongozana na watendaji kutoka Wizarani pamoja na viongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi alipotembelea katika Chuo hicho kwa ziara ya kikazi hivi karibuni.[/caption] [caption id="attachment_2630" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(wa tatu kulia) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana (kulia) alipokuwa akimuelezea kuhusu chumba cha Kompyuta cha Chuo hicho wakati wa ziara yake ya kikazi hivi karibuni.[/caption] [caption id="attachment_2631" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga akitumia moja ya Kompyuta zilizopo katika Chumba cha Kompyuta cha Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi uliwezeshwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Korea ya Kusini.
(Picha na: Raymond Mshumbusi)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi