Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Dkt. Ulisubisya Akutana na watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
Apr 13, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya (aliyesimama), akiongea na watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Makao Makuu na Kanda ya Mashariki, mara baada ya kuwatembelea leo. Wa pili kutoka kushoto ni Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice M.S. Mafumiko pamoja na Wakurugenzi wa Idara.[/caption]   [caption id="attachment_30413" align="aligncenter" width="750"] Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice M.S. Mafumiko, akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya (aliyevaa miwani) kuongea na watumishi mara baada ya Katibu Mkuu kutembelea Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali leo.[/caption] [caption id="" align="aligncenter" width="750"] Watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Makao Makuu na Kanda ya Mashariki, wakimsikiliza Katibu Mkuu (hayupo pichani) alipotembelea Ofisi za Mamlaka kuonana na watumishi hao.[/caption]   [caption id="attachment_30415" align="aligncenter" width="750"] Mtumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Bw. Aidan Maganigani (kushoto), akitoa salamu za shukrani kwa niaba ya watumishi mara baada ya Katibu Mkuu kumaliza kuongea na watumishi.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi