[caption id="attachment_21401" align="aligncenter" width="750"] Meneja wa Kampuni ya Specious Afrika, Hennesseyy Mdendwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa lebo mpya iliyo chini ya kampuni hiyo, kulia ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Eliud Modest na kushoto ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Akil Mohamed.[/caption] [caption id="attachment_21402" align="aligncenter" width="750"] Msanii Akil Mohamed (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu yeye kuwa chini ya lebo ya Specious Music mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni msanii mwenzake Eliud Modest.[/caption] [caption id="attachment_21403" align="aligncenter" width="750"] Msanii Eliud Modest (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu yeye kuwa chini ya lebo ya Specious Music mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni msanii mwenzake Akili Mohamed. Picha na Eliphace Marwa.[/caption]