Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kamishna Ustawi wa Jamii Atembelea Kituo cha Wazee Kibirizi.
May 31, 2017
Na Msemaji Mkuu

Afisa Mfawidhi wa kituo cha kulea Wazee cha Kibirizi Bw. Heradius Mushi (kulia) akifafanua mambo mbalimbali yanayohusu kituo hicho kwa Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi (katikati) wakati Kamishna huyo alipokitembelea kituo hicho mapema wiki hii Mkoani Kigoma. Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Bw. Rabikira Mushi (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa wazee waishio katika Kituo cha Kulea Wazee cha Kibirizi mkoani Kigoma, Bw. Said Lekegwa (kulia) na Bi.  Veronika Ramadhani (kushoto) mara baada ya kuwakabidhi zawadi ya sabuni.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi