Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Wakutana na Watendaji Jeshi la Magereza
Aug 24, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34460" align="aligncenter" width="760"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike kabla ya kuingia kwenye Kikao cha Kamati ya Bunge Mambo ya nje, Ulinzi na Usalama kinachofanyika leo Agosti 24, 2018, jijini Dodoma. Kamati hiyo inakutana na watendaji wa Jeshi la Magereza na Idara ya Wakimbizi.[/caption] [caption id="attachment_34461" align="aligncenter" width="808"] Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya Bunge Mambo ya nje, Ulinzi na Usalama leo Agosti 24, 2018, jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34462" align="aligncenter" width="1000"] Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza wakisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola kama inavyoonekana katika picha kabla ya kushiriki kikao kazi cha Kamati ya Bunge Mambo ya nje, Ulinzi na Usalama.[/caption] [caption id="attachment_34463" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola(katikati) akijadiliana na Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza kabla ya kuanza kwa kikao kazi cha Kamati ya Bunge Mambo ya nje, Ulinzi na Usalama, leo Agosti 24, 2018 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dododma(Picha zote na Jeshi la Magereza).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi