Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kamati ya Bajeti Yaipongeza NBS kwa Ufanisi wa Kazi Zake
Aug 21, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34368" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Mhe. Hawa Ghasia akisisitiza jambo wakati wa semina ya ya wajumbe wa Kamati hiyo iliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS),jijijini Dodoma jana. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa.[/caption] [caption id="attachment_34369" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyoandaliwa na NBS jana Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34371" align="aligncenter" width="750"] Meneja wa Takwimu za Mazingira, Bibi. Ruth Minja akiwasilisha mada mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyoandaliwa na NBS jana Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34372" align="aligncenter" width="750"] Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bw. Steven Maganda akiwasilisha mada kuhusu utafiti wa kaya mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyoandaliwa na NBS jana Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34373" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Jimbo la Mvomero, mkoani Morogoro Jeetson Patel akichangia mada wakati wa semina ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jana Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34374" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na watendaji wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakifuatilia mada wakati wa semina kwa wajumbe hao iliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jana Jijini Dodoma.
(Picha na Idara ya Habari - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi