Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

JKCI Yatoa Elimu ya Huduma za Matibabu ya Moyo Wakati wa Maonesho ya Viwanda ya SADC Yaliyomalizika Jana jijini Dar es Salaam
Aug 09, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45979" align="aligncenter" width="750"] Daktari wa chumba cha upasuaji wa moyo Tryphone Kagaruki kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) akimwelekeza Bhupendra Vaghele jinsi upasuaji wa moyo unavyofanyika alipotembelea banda la Taasisi hiyo wakati wa maonesho ya viwanda ya SADC yaliyomalizika jana jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_45981" align="aligncenter" width="750"] Mustafa Abdulkadir mmoja ya wananchi waliotembelea banda la maonesho ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya wageni baada ya kupata elimu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na taasisi hiyo bingwa kwa magomjwa ya moyo nchini.[/caption] [caption id="attachment_45982" align="aligncenter" width="750"] Daktari bingwa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Pedro Pallangyo, akitoa elimu ya afya ya moyo na huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa na taasisi hiyo kwa wananchi waliotembelea banda la taasisi hiyo wakati wa maonesho ya viwanda ya SADC yaliyomalizika jana jijini Dar es Salaam huduma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi