Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Jarida la Nchi Yetu Katika Maadhimisho ya Muungano
Apr 26, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30946" align="aligncenter" width="800"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisoma jarida la nchi yetu wakati wa madhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanziabar mapema leo mjini Dodoma.

[/caption] [caption id="attachment_30951" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akisoma Jarida la Nchi Yetu, wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Kushoto ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
[/caption] [caption id="attachment_30947" align="aligncenter" width="800"] Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii ) Bibi Sihaba Nkinga akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo Bi. Susan Mlawi Jarida la nchi yetu wakati wa maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_30950" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF akisoma akisoma Jarida la Nchi Yetu, wakati wa Sherehe za Maadhimisho  ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_30949" align="aligncenter" width="800"] Wananchi akisoma Jarida la Nchi Yetu wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi