Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

MAELEZO Yapokea Msaada wa Vifaa Kutoka Ubalozi wa China
Dec 21, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25383" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke akimwelezea jambo Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe wakati wa hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.[/caption] [caption id="attachment_25385" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimsikiliza Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong walipokutana katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.[/caption] [caption id="attachment_25391" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong wakitia saini hati ya makabidhiano ya vifaa katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.[/caption] [caption id="attachment_25392" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akielezea jambo mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke walipokutana katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.[/caption] [caption id="attachment_25393" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akielezea jambo mbele ya Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke (wapili kulia) walipokutana katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Kulia ni Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong . Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.[/caption]   [caption id="attachment_25396" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong akifafanua jambo mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kutoka kushoto) walipokutana katika hafla fupi ya makabidhiano ya msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi. (Picha na: Frank Shija)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi