Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Idara ya Habari (MAELEZO) yafanya Mahojiano na Makamu wa Rais.
Apr 20, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_322" align="aligncenter" width="640"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mahojiano maalumu na Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi kuhusu masuala ya Muungano kwa ujumla kuelekea maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano.[/caption] [caption id="attachment_325" align="aligncenter" width="504"] Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Jarida la Nchi yetu linalotolewa na Idara ya Habari ( MAELEZO). Jarida hilo liliandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika.[/caption] [caption id="attachment_328" align="aligncenter" width="630"] Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akifurahia jambo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan walipofanya mahojiano kuelekea maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano.[/caption] [caption id="attachment_326" align="aligncenter" width="574"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) katika picha ya pamoja na watumishi wa Idara ya Habari (MAELEZO) mara baada ya mahojiano maalumu kuelekea Maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano( kutoka kushoto ni Beatrice Lyimo, Dkt. Hassan Abbasi, Jonas Kamaleki na Hassan Silayo. (PIicha na Mpigapicha wetu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi