[caption id="attachment_49555" align="aligncenter" width="750"] Hospitali ya Rufaa ya kanda Mbeya leo imefanya kwa mara ya kwanza upasuaji kwa njia ya matundu(FUNCTIONAL ENDOSCOPIC SINUS SURGERY) wa matundu yanayoambatana na pua na magonjwa megine ya pua. Upasuaji huu umefanywa kwa umahiri mkubwa na Madaktari bingwa wa Masikio, koo na Pua kwa kushirikiana na Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Faida ya upasuaji huu kwa njia ya kisasa unasaidia mgonjwa kuchukua muda mufupi kukaa hospitalini, kutokuweka kovu eneo la upasuaji na mgonjwa kupona haraka.Hudu[/caption]