Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Balozi Liberata Mulamula, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2024.
Na
Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2024.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Deogratius Ndejembi bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2024.