Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Habari Picha: Makabidhiano ya Ofisi ya Idara ya Habari
Oct 06, 2023
Habari Picha: Makabidhiano ya Ofisi ya Idara ya Habari
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo (aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akimkabidhi baadhi ya nyaraka Mkurugenzi wa Idara ya Habari ((MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali mpya, Mobhare Matinyi. Makabidhiano hayo ya Ofisi yamefanyika leo Oktoba 06, 2023 katika Ofisi ya Idara hiyo jijini Dodoma.
Na Mwandishi Wetu

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi