Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Habari kKatika Picha: Tanzania Mwenyeji Miss Worl 2027
Apr 20, 2026
Habari kKatika Picha: Tanzania Mwenyeji  Miss Worl 2027
Katibu Mkuu wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndg. Gerson Msigwa pamoja na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Miss World Bi. Julia Morley wakisaini Mkataba wa Tanzania kuwa mwenyeji wa Mashindano ya 74 ya Ulimbwende wa Dunia mwaka 2027 (Miss World 2027). Hafla ya utiaji saini mkataba huo, imefanyika Aprili 20, 2026 Jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda.
Na Administrator

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi