Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Habari Katika Picha: Warembo 20 Wanaowania Tuzo ya Miss World Tanzania Wafanya Ziara Dodoma
Apr 13, 2026
Habari Katika Picha: Warembo 20 Wanaowania Tuzo ya Miss World Tanzania Wafanya Ziara Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa shindano la Miss World Tanzania mara baada ya washiriki hao kutembelea Bunge kuona shughuli zinavyofanyika, leo Aprili 13, 2026 Jijini Dodoma. Washiriki hao wanajiandaa na fainali itakayofanyika Aprili 19,2026katika ukumbi wa SuperDome, Masaki jijini Dar es Salaam na mmoja wao atakayetwaa taji ataiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Dunia (Miss World) mwezi Septemba mwaka huu nchini Vietnam.
Na Administrator

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi