Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Habari Katika Picha : Wajumbe na washiriki wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), watembelea Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro na Makumbusho ya Urithi wa Kijiolojia (Geopark)
Oct 07, 2026
Wajumbe na washiriki wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), walipotembelea Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro na Makumbusho ya Urithi wa Kijiolojia (Geopark) yaliyopo Karatu mkoani Arusha, na kushuhudia upekee wa ikolojia ya Tanzania pamoja na wanyamapori waliopo katika hifadhi hiyo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa vitendo wa diplomasia ya uchumi na utalii.
Na Administrator

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor