Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

EVERTON IKIJINOA TAIFA KUIVAA GOR MAHIA
Jul 12, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_6334" align="aligncenter" width="750"] Basi lililobeba wachezaji wa Timu ya Everton ya nchini Uingereza likiwasili katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazoezi leo.[/caption] [caption id="attachment_6337" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya viongozi wa wa Timu ya Everton ya nchini Uingereza wakishuka katika basi la timu hiyo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazoezi leo.[/caption] [caption id="attachment_6340" align="aligncenter" width="750"] Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakiingia katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_6355" align="aligncenter" width="750"] Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakifanya mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_6359" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza jambo na Meneja wa Habari wa Timu ya Everton FC wakati wa mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Yusuf Omar Singo.[/caption] [caption id="attachment_6364" align="aligncenter" width="750"] Mchezaji Wayne Rooney wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza akifanya mazoezi katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam leo.[/caption] [caption id="attachment_6383" align="aligncenter" width="750"] Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakifanya mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_6385" align="aligncenter" width="750"] Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakifanya mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_6366" align="aligncenter" width="750"] Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kumaliza mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_6367" align="aligncenter" width="750"] Mchezaji Wayne Rooney wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza akitoka mazoezini katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam leo. (Picha na: Idara ya Habari -MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi