Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Mwinyi Atia Saini Sheria Mbalimbali
Feb 01, 2024
Dkt. Mwinyi Atia Saini Sheria Mbalimbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akitia saini Sheria ya Mahkama ya Kadhi,ambapo alitia saini Sheria mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ikiwemo Sheria ya kuweka Masharti ya mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar,Sheria ya Mkaguzi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
Na Ikulu - Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na viongozi waliohudhuria katika hafla ya utiaji wa saini Sheria mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mara baada ya utiaji saini wa sheria hizo katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. Sheria zilizosainiwa ni Sheria ya  kuweka Masharti ya Mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar, Sheria ya Mahakama ya Kadhi na Sheria ya Mkaguzi wa Umma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na viongozi waliohudhuria katika hafla ya utiaji wa saini Sheria mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mara baada ya utiaji saini wa sheria hizo katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. 

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi