Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Mwakyembe: Chaneli ya Utalii Itasaidia Katika Kukuza na Kutangaza Sekta ya Utalii Nchini.
Nov 15, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38262" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akizungumza wakati wa uwasilishwaji wa taarifa fupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” leoJ ijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega, Kulia ni Waziri Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kingwangalla pamoja na Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe.[/caption] [caption id="attachment_38263" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (wapili kulia) akichangia mawazo baada ya kuwasilishwa kwa taarifa fupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” leo Jijini Dodoma. Kulia ni Waziri Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kingwangalla wengine ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, Mhe.Abdallah Ulega[/caption] [caption id="attachment_38264" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Maliasili na Utalii, Dkt.Hamis Kingwangala (Kulia) akiwasilisha mchango wake katika kikao cha kupokea taarifa fupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” kwa wadau wa Mradi huo leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38265" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (wapili kulia) akizungumza mara baada ya kuwasilishwa kwa taarifa fupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” leo Jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, wapili kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Bibi.Susan Mlawi pamoja Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari, Bw. Rodney Thadeus.[/caption] [caption id="attachment_38266" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi.Susan Mlawi akitoa maelezo mafupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” kwa mawaziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Maliasili na Utalii, Mifugo na Uvuvi pamoja na Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38267" align="aligncenter" width="1000"] Bw.Gabriel Nderumaki akiwasilisha taarifa fupi ya Mradi wa Uanzishwaji wa Chaneli ya Utalii “Tanzania Safari Chaneli” kwa mawaziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Maliasili na Utalii, Mifugo na Uvuvi pamoja na Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na wadau wengine leo Jijini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi