Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Mpango Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Huduma ya Maji Tanga
Feb 21, 2024
Dkt. Mpango Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Huduma ya Maji Tanga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Kijiji cha Pande kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani. Tarehe 22 Februari, 2024.
Na Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani katika Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji Mowe uliyopo Kijiji cha Pande mkoani Tanga. Tarehe 22 Februari, 2024. 

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Watumishi wa Mamlaka ya Maji Tanga pamoja na wananchi wa Kijiji cha Pande mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani katika Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji Mowe uliyopo Kijiji cha Pande mkoani Tanga. Tarehe 22 Februari, 2024.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi