Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Mahenge Amuwakilisha Mhe. Majaliwa Kwenye Mazishi ya Mzee Makbel
May 11, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_52475" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Patrobal Katambi akitoa salamu za pole alipohudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 katika makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_52476" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akitoa salamu za pole kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, wakati wa mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 katika makaburi ya Makbel Jijini Dodoma[/caption] [caption id="attachment_52477" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akiweka mchanga kwenye kaburi la Marehemu Mzee Mohammed Makbel ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, alipomuwakilisha Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, leo tarehe 11.05.2020 katika makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_52478" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde akitoa salamu za pole alipohudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 katika makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_52479" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 katika makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi