[caption id="attachment_44940" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamit Kigwangalla akiongea na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ambapo alisisitiza kuwa Serikali itaendelea kuweka mikakati ya kuendeleza sekta ya Utalii ili kusaidia katika kukuza uchumi wa nchi,leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza[/caption] [caption id="attachment_44941" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamit Kigwangalla akiongea na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ambapo alisisitiza kuwa Serikali itaendelea kuweka mikakati ya kuendeleza sekta ya Utalii ili kusaidia katika kukuza uchumi wa nchi,leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza[/caption] [caption id="attachment_44943" align="aligncenter" width="1000"] Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Dkt. Allan Kijazi akiongea na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi la Taifa (TANAPA) ambapo alieleza mpango wa Shirika hilo kuweka mkazo katika kuzifungua kanda za Kusini, Magharibi na kaskazini-Magharibi na tunaamini linawezekana, lengo ni kuhakikisha tunasaidia kukuza uchumi wa nchi, leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza[/caption] [caption id="attachment_44944" align="aligncenter" width="1000"] Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Dkt. Allan Kijazi akiongea na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi la Taifa (TANAPA) ambapo alieleza mpango wa Shirika hilo kuweka mkazo katika kuzifungua kanda za Kusini, Magharibi na kaskazini-Magharibi na tunaamini linawezekana, lengo ni kuhakikisha tunasaidia kukuza uchumi wa nchi, leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza[/caption] [caption id="attachment_44946" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi wakifuatilia hotuba za ufunguzi wa mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza[/caption] [caption id="attachment_44947" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamit Kigwangalla akiwa patika picha ya pamoja na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).[/caption] [caption id="attachment_44948" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamit Kigwangalla akiwa patika picha ya pamoja na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).[/caption] [caption id="attachment_44949" align="aligncenter" width="1000"] Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mawasiliano -TANAPA,Pascal Shelutete akiongea na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi la Taifa (TANAPA), Leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza.(Na Mpiga Picha Wetu)[/caption]