Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Kalemani Afanya Mkutano na Watendaji wa Nishati na Madini
Aug 21, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_9670" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akizungumza na watendaji pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zake (hawapo pichani) katika kikao hicho. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo na kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. James Mdoe.[/caption] [caption id="attachment_9674" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Haji Janabi akitoa mchango wake kwenye mkutano huo.[/caption] [caption id="attachment_9675" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi kutoka Idara ya Manunuzi Wizara ya Nishati na Madini, Amon MacAchayo akifafanua jambo katika kikao hicho.[/caption] [caption id="attachment_9676" align="aligncenter" width="750"] Mkufunzi kutoka Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Joseph Mtui akielezea mikakati ya uboreshaji wa chuo hicho katika kikao hicho.[/caption] [caption id="attachment_9673" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya watendaji na wafanyakazi kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zake wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (hayupo pichani) katika kikao hicho.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi