Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Abbasi Ahimiza Viongozi wa Mkoa wa Simiyu Kutangaza na Kutetea Mageuzi Yanayofanywa na Serikali
Oct 03, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_36239" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, akitoa mada ya umuhimu wa mawasiliano ya kimkakati mbele ya viongozi mbalimbali wa mkoa wa Simiyu. Kwenye wasilisho lake amesisitiza kutangaza na kutetea mageuzi yanayofanywa na Serikali ya amamu ya tano.[/caption]   [caption id="attachment_36227" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Anthony Mtaka pamoja na viongozi wengine wa mkoa huo waliohudhuria kikao cha uwasilishaji wa mada iliyohusu umuhimu wa mawasiliano ya kimkakati katika kutangaza ahadi za serikali.[/caption]   [caption id="attachment_36224" align="aligncenter" width="683"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji wa Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, mheshimiwa Anthony Mtaka (katikati) na Katibu Tawala wa mkoa huo Jumanne Sagini.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi