Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) ya China, Bw. Zhuang Shangbiao (kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Rais wa Kampuni ya Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Bw .Zhao Dianlong (wa pili kulia) pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara ya hapa Nchini. (Picha na Ikulu., Zanzibar)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) ya China Bw. Zhuang Shangbiao (wa tatu kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Rais wa Kampuni ya Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Bw. Zhao Dianlong (katikati) pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara yao hapa nchini. (Picha na Ikulu, Zanzibar).