[caption id="attachment_47697" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Nduguti, wilayani Mkalama, kwenye mkutano wa hadhara Oktoba 5.2019.[/caption]
[caption id="attachment_47698" align="aligncenter" width="750"]
Wananchi wa Nduguti, wilayani Mkalama, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akihutubia, kwenye mkutano wa hadhara Oktoba 5.2019.[/caption]
[caption id="attachment_47699" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Watumishi wa Halmashauri pamoja na Madiwani, katika ukumbi wa Halmashauri ya Mkalama, mkoani Singida. Oktoba 5.2019.[/caption]
[caption id="attachment_47700" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimhoji Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Godfrey Sanga, kutokana na matumizi mabaya ya fedha za Umma, Oktoba 5.2019. wakati alipozungumza na Watumishi wa Halmashauri pamoja na Madiwani, katika ukumbi wa Halmashauri ya Mkalama, mkoani Singida. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).[/caption]