Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Atembelea Ofisi ya Waziri Mkuu
Jun 16, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam Juni 16, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Ubalozi Marekani ulioongozwa na Balozi wa nchi hiyo nchini, Donald J. Wright ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam Juni 16, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright baada ya kikao kilichofanyika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam Juni 16, 2022.