Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Fedha, Utawala Na Masoko ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Stanley Mahembe Ahamia EWURA.
May 23, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_1428" align="aligncenter" width="750"] Aliyekuwa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Fedha, Utawala na Masoko ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Stanley Mahembe akiwaaga wafanyakazi wa kurugenzi yake leo kabla ya kuelekea katika kituo chake kipya cha kazi cha Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Fedha, Utawala na Masoko ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bi. Lilian Karumuna.[/caption] [caption id="attachment_1429" align="aligncenter" width="750"] Aliyekuwa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Fedha, Utawala na Masoko ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Stanley Mahembe akifurahia jambo na wafanyakazi wa kurugenzi yake wakati akiwaaga leo kuelekea katika kituo chake kipya cha kazi cha Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).[/caption] [caption id="attachment_1432" align="aligncenter" width="750"] Aliyekuwa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Fedha, Utawala na Masoko ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Stanley Mahembe (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kurugenzi hiyo mara baada ya kuwaaga leo kwa ajili ya kuelekea katika kituo chake kipya cha kazi cha Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).(Picha na Benjamin Sawe).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi