Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Air Tanzania Yazindua Safari ya Kwanza ya Mumbai
Jul 18, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45388" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Air Tanzania, Ladislaus Matindi akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya ndege ya Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kuelekea Mumbai nchini India ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana tarehe 17 Julai, 2019.[/caption] [caption id="attachment_45389" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe akikata utepe wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya ndege ya Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kuelekea Mumbai nchini India ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana tarehe 17 Julai, 2019.[/caption] [caption id="attachment_45390" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe akikata keki wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya ndege ya Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kuelekea Mumbai nchini India ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana tarehe 17 Julai, 2019.[/caption] [caption id="attachment_45391" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe akikata utepe wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya ndege ya Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kuelekea Mumbai nchini India ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana tarehe 17 Julai, 2019.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi