Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Aug 17, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_9286" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa OR- TAMISEMI Bw. Allan Bendera akizungumza wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo kuhusu Mfumo Mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) yaliyomalizika mapema hivi karibuni Jijini Mbeya. Mafunzo hayo yaliwashirikisha watumishi wa kutoka Halmashauri za Mikoa ya Songwe, Njombe, Iringa na Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_9290" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bw. Bernard Kilembe akielezea jambo wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo kuhusu Mfumo Mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) yaliyomalizika mapema hivi karibuni Jijini Mbeya. Mafunzo hayo yaliwashirikisha watumishi wa kutoka Halmashauri za Mikoa ya Songwe, Njombe, Iringa na Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_9292" align="aligncenter" width="750"] Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Uratibu Amza Amen Ndossa kutoka Mkoa wa Njombe akisisitiza jambo wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo kuhusu Mfumo Mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) yaliyomalizika mapema hivi karibuni Jijini Mbeya. Mafunzo hayo yaliwashirikisha watumishi wa kutoka Halmashauri za Mikoa ya Songwe, Njombe, Iringa na Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_9295" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa mafunzo kuhusu Mfumo Mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) yaliyomalizika mapema hivi karibuni Jijini Mbeya wakielekezana jinsi ya kutumia mfumo huo. Mafunzo hayo yaliwashirikisha watumishi kutoka Halmashauri za Mikoa ya Songwe, Njombe, Iringa na Mbeya. (Picha na: Idara ya Habari - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi