Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Polisi Waua Wahalifu 13 Kibiti
Aug 11, 2017
Na Msemaji Mkuu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro akipata (aliyeshika kiuno) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesjheni za Jeshi la Polisi, DCP Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa kwa wahalifu 13 katika majibizano ya lisasi kati ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangi Bovu, kijiji cha Miwalewni tarafa ya Kibiti. Chini ni bunduki nane aina ya SMG na vifaa vingine vilivyopatikana.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro akiangalia vitu mbalimbali vilivyokuwa vikitumiwa na wahalifu 13 waliouawa katika majibizano ya lisasi kati ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangi Bovu, kijiji cha Miwalewni tarafa ya Kibiti ambapo bunduki nane aina ya SMG, risasi 158, pikipiki mbili pamoja na begi la nguo vilikuwa vikitumiwa na wahalifu hao. Kulia ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, CP Robert Boaz.

[caption id="attachment_8878" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro akiongea na wananchi wa kijiji cha Miwaleni, tarafa ya Kibiti alipokuwa akitoka kukagua eneo walipouawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi kati ya Jeshi la Polisi na wahalifu hao eneo la Tangi Bovu, kijiji cha Miwaleni tarafa ya Kibiti.[/caption]

(Picha Zote na Jeshi la Polisi)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi