Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua pamba ambayo imechambuliwa na kufungwa tayari kwa kuuzwa wakati alipozindua kiwanda cha kuchambua pamba cha NGS Investment Company Limited kilichopo ifukutwa wilayani Tanganyika mkoani Katavi Agosti 26, 2021. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Emmanuel Njalu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua kiwanda cha kuchambua pamba cha NGSInvestment Company Limited kilichopo Kifukutwa wilayani Tanganyika mkoani Katavi, Agosti 26, 2021. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Emmanuel Njalu, wa tatu kulia ni Mbunge wa Mpanda V ijijini, Suleiman Kakoso na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Katavu, Beda Katani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu uchambuaji wa pamba kutoka kwa Emmanuel Njalu (wa pili kushoto) ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchambua pamba cha NGS Investment Company Limited kilichopo Ifukutwa wilayani Tanganyika mkoani Katavi baada ya kuzindua kiwanda hicho, Agosti 26, 2021.